ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya 🇹🇿?
Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa sana ,mfano ni kwenye sekta ya ujenzi wa viwanja vya Michezo na -ukarabati.
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Arusha
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Mpira Dodoma
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo KMC
-Ujenzi wa uwanja Mpya wa Michezo Meja Samunyo
-Ukarabati wa uwanja wa Benjamin Mkapa
-Ukarabati wa uwanja wa Uhuru (Shamba la Babi)
-Ujenzi wa viwanja vya Michezo kwenye Miji na Halmashauri mbalimbali eg Chunya,Moshi,Sengerema,Tunduma, Chalinze nk
-Ukarabati wa viwanja vya Michezo na kufungwa taa eg Nyamagana,CCM Kirumba,Jamhuri,Kaitaba ,Mtibwa Sugar,Mkwakwani,
-Ujenzi wa viwanja vya mapunziko na mazoezi eg Chinangali-Dodoma,Dar,Arusha,Tanga na Chuo Cha Michezo Mallya.
Yaani hivyo ni Baadhi tuu kati ya viwanja vingi ambavyo Profesa wa siasa na Maendeleo SSH ameweka juhudi zake.
Tunampa maua yake angali akiwa hai,kwamba goli la mama limeleta Tija. 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGBCF48ha7B/?igsh=dXNhb3JqM2trbTFq
My Take
Samia amegusa Kila sekta na kote amefaniliwa pakubwa,hakuna hata wa kumsogelea ukifanya ulinganisho.
View: https://www.instagram.com/p/DGBSxLkSDVs/?igsh=MXF1Njh4bHlrNG51OQ==