Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

Kuweka taa ccm kilumba πŸ˜† πŸ˜‚ 🀣 nayo ni maendeleo au umejitahidi kugusa kanda zote kwenye huu mkeka
 
Sasa jamaa yangu ulichotuma ni nini kama sio picha ya conceptual design na sio picha ya uwanja uliojengwa ambao upo?

Picha ya conceptual design inaweza kuwa ya old Trafford, Emirates, Nou Camp, Stade de France au hata Maracana.
 
Masikini Tanzania bandari ya bagamoyo mafisadi waichukua😭😭😭😭😭
 
Attachments

  • 20250213_171101.jpg
    104.5 KB · Views: 2
Sasa jamaa yangu ulichotuma ni nini kama sio picha ya conceptual design na sio picha ya uwanja uliojengwa ambao upo?

Picha ya conceptual design inaweza kuwa ya old Trafford, Emirates, Nou Camp, Stade de France au hata Maracana.
U ngwini unakusumbua. Hizo ni renders za uwanja utakavyokuwa.

Wewe ni mgeni na kazi za kikandarasi? Huwa huoni picha zinawekwa zinazoonesha structure yote kuanzia foundation Hadi itakapokamilika?

View: https://www.instagram.com/p/DGBQT34IpgK/?igsh=NTYwOXFrMzZ3dnpv
 
View: https://www.instagram.com/p/DGBQT34IpgK/?igsh=NTYwOXFrMzZ3dnpv
 
Wengine walikuwa wapi kusimamia na kutekeleza hayo maendeleo?

Ulitaka Rais akifanya vyema atukanwe asisifiwe au? Hater unatapatapa 😁😁

Kwa Samia mtateseka sana yaani Bado.
Walikua ni chama gani si hao mlosema wanafanana na Yesu
 
Samahani wakuu. Nakumbuka enzi za Magu tulitembelewa na na mfalme wa Morocco kama sikosei. Na mfalme aliahidi kujenga uwanja wa mpira hapo Dodoma. Je, uwanja wenyewe ndo huo na sifa anapewa Samia au mfalme alitoa ahadi hewa.

NB: Nime-google na kuipata habari hii. Magu anasema "nimezungumza naye na kumwomba atujengee uwanja... makao makuu..."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…