Video Picha: Uwanja Mpya wa Michezo Dodoma

Kwangu naona kama uwanja utajengwa kwa gharama kubwa sana. Uwanja utachukua watu kama 32,000 na gharama yake ni Tshs.310bn. Uwanja wa Mkapa unachukua watu takriban60,000 ulijengwa wakati ule kwa takriban kwa 65bn. Pili, kwa nini uwanja usijengwe mkubwa unaochukua watu kama 90,000 ikichukuliwa Dodoma ndiyo sasa Mji mkuu wa nchi ya Tanzania.
 
hakuna lifalme luongo kama lile, lilifanya vile ili tulipatie kura liwe ndani ya kamati fulani ya UN huko, lilivyopata likatuchinjia baharini. halijawahi hata kurudi wala kusalimia. imagine nchi masikini kama morocco itoe msaada uwanja mkubwa kama huo Tanzania wakati nchin kwake kuna uhitaji wa kujenga viwanja kama hivyo pia.
 
Aiseeeee! kama ndivyo, basi viongozi wa Afrika %kubwa hawataingia mbinguni. Wengi wanaelekea motoni. Kwamba wao ni waongo. Na baba wa uongo ni ibilisi.
 
Ni aibu Kwa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kutegemea Msaada Kwa Nchi maskini kama Morocco
 
Umefika asilimia ngapi na utaisha lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ