Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

Video: Polisi Dar wakiwa katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao

Hakuna kazi ya ovyo kama upolisi Tanzania, kuna sababu gani ya kumpiga mtu vile? Mtu kaka kalala chini, hana silaha, hajatulishia usalama wa polisi yoyote wanampiga kiasi kile, ile kazi ya laana.
 
Back
Top Bottom