VIDEO: Polisi Marekani wameingia chaka kumkamata undercover FBI Agent Raia mweusi mwenye asili ya Sudan Kusini

Status
Not open for further replies.

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Ubaguzi unaendelea pamoja na maandamano kuendelea kurindima pande tofauti tofauti za dunia. Police wa USA wamejikuta kwenye sintofaham baada ya kumkamata FBI bila kujua.

Tazama video hapa chini.
Your browser is not able to display this video.



=======
FACT CHECK

The arrested brother has not been confirmed to be an FBI Agent. The video that has been recently shared is not current one, it has been shared recently because of the recent demonstrations against police brutality and racism against black community
 
jamaa wabaguzi sana kwa hiyo kama angekua sio agent mwenzao ingekula kwake ?!

Hii hali inatisha sana halafu hawa jamaa wanaiaminisha DUNIA yakwamba wao ndio wanaheshimu sheria kisawa sawa aseee.
 
Mbongo mpe picha story atakupa.

Hii video imekuwepo kitambo.

Askari wamemfananisha huyu jamaa. Na walipoangalia ID yake ndiyo kugundua sio wanayemtafta.
 
Ubaguzi unaendelea pamoja na maandamano kuendelea kurindima pande tofauti tofauti za dunia. Police wa USA wamejikuta kwenye sintofaham baada ya kumkamata FBI bila kujua.

Tazama video hapa chini.
View attachment 1466644
Kwani FBI hakamatwi? Under cover gani anajitambulisha in public, si amesha blow cover yake?

FBI hukamatwa na huwa wanatii amri, FBI officers ni federal agent, hao ni local so taratibu za kikazi zinaweka mipaka baina yao. Uwepo FBI tena under civer haumzuii Afisa mwingine wa usalama kufanya kazi yake, hiyo ni huku bongo tu.
 
Sasa kilichowafanya watii amri na kutoa vitambulisho vyao ni nini? Hujaona walivyosinyaa? Huyo jamaa aliwaambia tangu awali kuwa kila mtu anaweza kuwa polisi, so kwa yaliyoendelea baada ya kuona kitambulisho ina maana huyi jamaa ni afisa wa ngazi ya juu yao
 
Atakuwa FBI kwa ajili ya nchi ya nchi ya Sudan. Hawezi jianika hivyo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…