VIDEO: Polisi Marekani wameingia chaka kumkamata undercover FBI Agent Raia mweusi mwenye asili ya Sudan Kusini

Status
Not open for further replies.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa walikuwa kama Pirton haahhhahah
 
This is a fake story. Hii ni habari ya mwaka jana na haihusiani na maandamano ya sasa.

Lakini pia huyo jamaa sio FBI agent. Ni kwamba walimfananisha na mtuhumiwa waliyekua wanamtafta alipotoa kitambulisho ikaonekana sio yeye.

Sasa mataahira wa mitandaoni chochote wanachokipokea wanakichukua kama kilivyo.
 
Mbona akichukua vitamburisho vyao?
This is a fake story. Hii ni habari ya mwaka jana na haihusiani na maandamano ya sasa.

Lakini pia huyo jamaa sio FBI agent. Ni kwamba walimfananisha na mtuhumiwa waliyekua wanamtafta alipotoa kitambulisho ikaonekana sio yeye.

Sasa mataahira wa mitandaoni chochote wanachokipokea wanakichukua kama kilivyo.
 
Mkuu walikosea lazima wangeomba ID ya jamaa, jamaa anawaambia siyo mimi wao wanaforce, wangemwomba ID wahakikishe ndio wanayemtafuta
Mistake of fact. Katika ku-arrest mhalifu mtu yeyote anaweza akakosea akamkamata mwingine.

Na ikumbukwe kuwa wahalifu wengi kule US ni blacks. Ni kama tu walivyo wakurya hapa Tz
 
Hajajitambulisha Ila ametambulishwa bila kupenda
Kwani FBI hakamatwi? Undeecover gani anajitambulisha in public, si amesha blow cover yake?

FBI hukamatwa na huwa wanatii amri, FBI officers ni federal agent, hao ni local so taratibu za kikazi zinaweka mipaka baina yao. Uwepo FBI tena under civer haumzuii Afisa mwingine wa usalama kufanya kazi yake, hiyo ni huku bongo tu.
 
Mistake of fact. Katika ku-arrest mhalifu mtu yeyote anaweza akakosea akamkamata mwingine.

Na ikumbukwe kuwa wahalifu wengi kule US ni blacks. Ni kama tu walivyo wakurya hapa Tz
Na wewe unaleta ukabila humu ndani sio?
Unautani na wakurya? Ngoja waje kukupa vitasa
 
Mistake of fact. Katika ku-arrest mhalifu mtu yeyote anaweza akakosea akamkamata mwingine.

Na ikumbukwe kuwa wahalifu wengi kule US ni blacks. Ni kama tu walivyo wakurya hapa Tz
Wakurya😠😠😠😠 shame on you......
 
Mabeberu watu wabaya sana
Watu wabaya na vyote unavyotumia hapo vimetoka kwao, simu, mavazi yako mpaka ukiumwa dawa unazotumia zinatoka kwao kweli ni watu wabaya sana hao mabeberu hawafai kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu mbona unabisha sana na swala lipo wazi jamaa wametoa bussiness card zao/vitambulisho wakampa huyo black
Niliyemkatalia kaongelea ID siyo card (business). Hao walitaka kum arrest sababu walimfananisha, yeye akakataa, walipomkagua na kukuta kitambulisho chake wakakiri kwamba wamemfananisha na hivyo kumfungua ndipo jamaa akawa anawaka na wai wakaendelea kuwa wapole kama walivyikuja. Hata ukamataji wai wala haukuwa wavurugu, aliye make scene hapo ni huyo mkamatwaji mwenyewe, siyo wakamataji.
Halafu mnamsingizia bure tu huyo jamaa kwamba ni FBI, kama angekuwa ni FBI basi kwa clip hii angeshafukuzwa kazi.

Andamaneni kuhusu hawa mashetani hapa chini kama kweli mnapambania haki

Mistake of fact. Katika ku-arrest mhalifu mtu yeyote anaweza akakosea akamkamata mwingine.

Na ikumbukwe kuwa wahalifu wengi kule US ni blacks. Ni kama tu walivyo wakurya hapa Tz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah aisee jamaa si wauza mayai ama
 
ila mitandao ina nguvu sana aisee.

huyo anyeitwa afisa wa FBI,ni nigga mmoja alifananishwa na polis wakagundua waliingia cha kike kumshika hakuwa wanayemtafuta,wakurungwa wameunga n story iliyopo[emoji16][emoji16][emoji16].

afisa wa FBI akatae kukamatwa[emoji16][emoji16],halafu atoe kitambulisho,kazi si ndo imeishia hapo!!!
 
Niliyemkatalia kaongelea ID siyo card (business). Hao walitaka kum arrest sababu walimfananisha, yeye akakataa, walipomkagua na kukuta kitambulisho chake wakakiri kwamba wamemfananisha na hivyo kumfungua ndipo jamaa akawa anawaka na wai wakaendelea kuwa wapole kama walivyikuja. Hata ukamataji wai wala haukuwa wavurugu, aliye make scene hapo ni huyo mkamatwaji mwenyewe, siyo wakamataji.
Halafu mnamsingizia bure tu huyo jamaa kwamba ni FBI, kama angekuwa ni FBI basi kwa clip hii angeshafukuzwa kazi.

Andamaneni kuhusu hawa mashetani hapa chini kama kweli mnapambania haki

View attachment 1467191

Mkuu kwenye mitandao siku hizi wengi bila kujiridhisha na kuangalia uhalisia na ukweli wa habari wao wanafuata iliyopo tu mbele yao
Kweli hii ni video clip ya mwaka Jana na alihimiza wampe business card zao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom