Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
ila mitandao ina nguvu sana aisee.
huyo anyeitwa afisa wa FBI,ni nigga mmoja alifananishwa na polis wakagundua waliingia cha kike kumshika hakuwa wanayemtafuta,wakurungwa wameunga n story iliyopo[emoji16][emoji16][emoji16].
afisa wa FBI akatae kukamatwa[emoji16][emoji16],halafu atoe kitambulisho,kazi si ndo imeishia hapo!!!
Mabeberu 🐐 🐐🐐 🐐🐐 🐐🐐 🐐🐐 🐐 wanakuwaje watu?Mabeberu watu wabaya sana
Hii mitandao imekuja kupunguza kabisa uwezo wa binaadam kiakili. Akili hazitumiki kabisaMkuu kwenye mitandao siku hizi wengi bila kujiridhisha na kuangalia uhalisia na ukweli wa habari wao wanafuata iliyopo tu mbele yao
Kweli hii ni video clip ya mwaka Jana na alihimiza wampe business card zao
This is a fake story. Hii ni habari ya mwaka jana na haihusiani na maandamano ya sasa.
Lakini pia huyo jamaa sio FBI agent. Ni kwamba walimfananisha na mtuhumiwa waliyekua wanamtafta alipotoa kitambulisho ikaonekana sio yeye.
Sasa mataahira wa mitandaoni chochote wanachokipokea wanakichukua kama kilivyo.
Kwa hiyo unakiri kwamba ni imani ya watu kuwa huyo ni FBI lakini hakuna popote alipojitambulisha hivyo. Wanaamini hivyo kwasababu ya kuona na kumsikia jamaa akiwaomba kadi ya inayotambulisha shughuli zao.Mkuu weww ni muha nini? Umesema mwenyewe *hakuna alipochukua vitambulisho vyao* kucomment hii unasema uliyemkatia kaongea Id na sio card(bussiness). Huoni kauli zako zinautata. Maana video inaonyesha wakimpa vitu hakuna ajuaye kama ni Id au business card.
Pia, kinachofanya watu waamini ni FBI ni hili tukio la mkamatwaji kupewa Id/bussiness card na polisi. Embu imagine polisi akukamate kisha akuachie na utambulisho wake akuachie. Hili si jambo jepesi kwa viburi walivyonavyo mapolisi. Kumbuka pia aliyekamatwa ni black hawawezi muogopa kiasi cha kumpatia Id/bussiness card kama sio mtu fulani
Kwani uliambiwa FBI ndio wanaruhusiwa tu kupewa kadi? Hizo ni business card na sio ID card. Huwezi kumpa mtu ID card yako hata awe nani. Hilo linahitaji uwe umesoma sana kulijua?Alichukua Id zao za nini kama hana cheo pahala popote?
Mkuu tatizo la watu wengi hua kila kitu wanakichukua kama kilivyo. Yaani chochote wakiona mtandaoni basi wanakiamini kama kilivyo, hawajiulizi hata kidogo.Kwa hiyo unakiri kwamba ni imani ya watu kuwa huyo ni FBI lakini hakuna popote alipojitambulisha hivyo. Wanaamini hivyo kwasababu ya kuona na kumsikia jamaa akiwaomba kadi ya inayotambulisha shughuli zao.
Huyo hakuomba IDs zao bali busines cards, na Polisi walikuwa wapole baada kujiridhisha kwamba waliyekuwa wanamfikiria siye, na jamaa alianza kuja juu baada ya kuina Polisi wamejiridhisha kwamba siye.
Elewa kwamba baada ya tukio hilo huyo jamaa na yeye kwa upande wake ana haki zote za ku open charges, na Polisi kutoa business cards zao ni lazima ili akienda kufungua malalamikoawe na taarifa zao ndiyo maana walimpatia business cards zao sababu wanajua huyo jamaa ni haki yake kisheria.
Sasa hapo sijui habati sijui ni Muha zinatoka wapi. Mnawashutumu wazungu kuwa ni wabaguzi wakati ninyi ubaguzi umetamalaki kuanzia kwenye sura, ngozi, maneno tabia hadi uboho.
Mbongo mpe picha story atakupa.
Hii video imekuwepo kitambo.
Askar wamemfananisha huyu jamaa. Na walipoangalia id yake ndyo kugundua sio wanayemtafta.
Kwa kawaida sio rahisi mhalifu ajitaje. Pia unaweza ukamwomba kitambulisho akajidai anakitafuta mfukoni, akachomoa silaha akawadhuru.Mkuu walikosea lazima wangeomba ID ya jamaa,jamaa anawaambia siyo mimi wao wanaforce,wangemwomba ID wahakikishe ndo wanayemtafuta