Wakati vyama mbalimbali vya siasa vikiendelea na kampeni za uchaguzi mkuu Uganda unaotarajiwa kufanyika Januari 2026, Kumekuwepo na sekeseke la Mikutano ya Mgombea Urais kupitia Chama cha National Unity Platform(NUP), Robert Kyagulanyi Ssentamu(Bobi Wine) kuvamiwa na vyombo vya ulinzi mchini humo na kufyatua mabomu ya machozi
Soma pia Mabomu ya machozi yapigwa wakati Bobi Wine akifanya kampeni Uganda
Hii ni video inayoonyesha namna ambavyo vyombo vya ulinzi vimeshindwa kusimamia itikadi na sheria ya kutumikia taifa bila kuegemea itikadi yeyote, askari kuchana bango la mgombea na kufyatua risasi kwa wananchi wanaozuia ni ukikwaji wa sheria na inaashiria vyombo hivi kuwa upande wa utawala