Video Queen wa Diamond “ JEJE” ni balaa..

Video Queen wa Diamond “ JEJE” ni balaa..

Bullshit
Unatema pumba tu umbea umbea na kufuatilia maisha ya watu
Black baboon!!!
Kwan nimekuletea wewe , ebu nitolee njaa zako mie mxieew mwanaizaya usiyekua na Haya , sura kavu kama kwapa la mjusi

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haka kadada kamekua maarufu masaa machache baada ya video Mpya ya Diamond “Jeje” kutoka. Umaarufu wake unazidi kuongezeka saa hadi saa kutokana na umaridadi wake wa kukatika na kucheza kwa kujiamini, kitu ambacho kinamfanya bidada huyo ajizolee umaarufu mkubwa kwenye mitandao ya kijamii, licha ya umaridadi wake wa kukatika na kucheza na beat, uzuri na mvuto wa binti huyo vinatajwa kumfanya aonekane zaidi tofauti na video queen wa nyimbo nyingine.

Yani I wish yeye ndio angekua kaimba wimbo wa Tanasha dona “GERE”, maana shoga angu yule anaimba ila kiuno chenyewe anachosema aonyeshe hana[emoji16]

Ila halafu wameendana sana na domo , I hope huyu mbwa hajafanya yake mxieew ..

Sina uhakika kama hii ndo video yake ya kwanza kuifanya au lah, ila bila shaka kaitendea haki video , na tunamkaribisha kwenye ulimwengu wa mastaa, ngoja tuingie mzigon kukagua ma file View attachment 1369793

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ako ka mdada kama wewe tu.

imebidi nikaangalie vizur ile video,bila shaka yule binti ana damu ya Kimakonde sio ya damu ya Kichaga🤐
 
warumi,
Kwa huyo demu nakupa iko leo, kwanza kabisa ana ngozi nzuri hapa ndo wanatakiwa mademu wa kibongo wajifunze uzuri sio lazima uwe mweupe, ana figure matata na pia ana macho mazuri akikuangalia utazani upo mbinguni kumbe duniani.Huyu demu akienda benki kuomba mkopo anaweza kupewa bila hata kupewa riba.
duh juma lokole [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nyimbo sikuikubali lkn du hatari.
89087173_2573341622793982_6689539953183031589_n.jpg

84357582_497906467764908_7670204110353517874_n.jpg

88261056_491743288377973_7236788825051030404_n.jpg

Itunes huko hela tupu,sisi acha tukimbizane Youtube.
 
Back
Top Bottom