Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Inasemekana tu lakiniKiki tu hamna kitu
Mkorogo tena mbona anaonekana ni shombe na hiyo ndio rangi yakeNi mrembo ila huo mkorogo wake ni balaaaa
Mkuu mi huyo mtoto nikiwa nae simchoki mtoto anavutia kila idara
Mungu nipe na mimi[emoji2] [emoji2]
very sexyMimi binafsi nimemuelewa sema tatizo ndo hivyo tena magu anakaba mpaka penalty
Yani hapa harrier inaenda kihalali kabisa bila kujifikiria Mara mbili
Na hizi ni baadhi ya picha akiwa Dubai sponsor unknown , vigezo na masharti nimezingatia vyote .View attachment 440258View attachment 440259View attachment 440260View attachment 440261View attachment 440263
hance mtanashatiHuyo binti yuko vizuri wanakimbizana na yule Tunda!
We nawe, unababaika na mi kamera hiyo,kitu hiki hapa bila kamera 360 wala mipodozi yao kitu kinavuta,na huyu kwangu ni mchepuko tu.Mimi binafsi nimemuelewa sema tatizo ndo hivyo tena magu anakaba mpaka penalty
Yani hapa harrier inaenda kihalali kabisa bila kujifikiria Mara mbili
Na hizi ni baadhi ya picha akiwa Dubai sponsor unknown , vigezo na masharti nimezingatia vyote .View attachment 440258View attachment 440259View attachment 440260View attachment 440261View attachment 440263
Angalia sugu hapo miguuniMkorogo tena mbona anaonekana ni shombe na hiyo ndio rangi yake
Haha yule haingii hata robo kwa huyuWe nawe, unababaika na mi kamera hiyo,kitu hiki hapa bila kamera 360 wala mipodozi yao kitu kinavuta,na huyu kwangu ni mchepuko tu.
Kama na wewe unajiamini, weka mkeo/mchepuko wako hapa
Kwa nini mkuu explain pleasepwilo;
Huyo naye ni wa kumwomba Mungu akupatie?? Mbona watu hatunaga kinyaa jamani?? Nijue kuwa kuna kidume anayempanda kila siku nami nikaombe zamu yangu kweli?? Ati kajaaliwa, yaani umemwona wa kipekee Tz?? Hana hata mdogo wake?? Ningelitamani umtamani mdogo wake au hata jirani yake
Nlijua cheupe naturale kumbe....Ni mrembo ila huo mkorogo wake ni balaaaa