Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Uzuri wa make up na minywele ya bandia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuu explain please
Ana best yake pia mrembo kama yeye anaitwa Fayma nitaleta pic soonHuyo binti yuko vizuri wanakimbizana na yule Tunda!
Dogo janja[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dogo Janja ndo anahusika na huwo mzigo inasemakana lkn
wa hivyo mtaani wako kibao,sema tatizo mpaka wawe maarufu ndio tunataka kuhonga mtaji.Kitaa kuna wengine walimuona wa kawaida,ila baada ya kuonekana kwa kioo nao wanataka mzigo.Nisaidie # zake basi mkuu nataka Nile mtaji [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyo fayma anatoka na rayvany
Hata sijui lakini inawezekana lakini Wcb kwa kupenda watoto wazuri hawajamboHuyo fayma anatoka na rayvany
Mkuu hapo nimekubali kweli bongo kuna mabinti wazuri!
Huyu ni mtanzania?
Mademu wote wazuri bwana domo kashapita, kilichobaki wale makomboInasemekana etiiii, ametoa mbend wa ndomo, inasemekana lakini ..
Khaa wanawake weupe ckuhiz tunapata tabu tunaonekana wote tunatumia mkorogoNi mrembo ila huo mkorogo wake ni balaaaa
Nilisikiaga hivoInasemekana etiiii, ametoa mbend wa ndomo, inasemekana lakini ..
Elimu ndio mtihani kwaoNisiwe mnafiki nikiona mwanamke mzuri kama huyo akiwa anafanya kazi ambayo haina hadhi kama yake roho inaniuma sana au ukute mwanamke mzuri halafu awe anafanya kazi bar anashikwa shikwa makalio au anajiuza roho inaniuma sana
Wanawake kama hao wanatakiwa uwakute wapo wanafanya kazi wizarani na maofisi makubwa makubwa