Video queen wa video ya 'Kwetu' ni balaa

Video queen wa video ya 'Kwetu' ni balaa

Kwa nini mkuu explain please

pwilo;
Usimtamani mke wa ntuu! Tiyari ana wake, mwombe Mola ka kuna ndogo ake umnyatie huyo si huyu. 2 kawaida ni kuwa ajaye nyuma ndo mzuri zaidi kwani wazuri baado kuzaliwa
 
1480263478826.png
hapa wako wote
1480263558666.png
1480263649025.png
1480263682687.png
 

Attachments

  • 1480263630972.png
    1480263630972.png
    277.7 KB · Views: 82
Nisaidie # zake basi mkuu nataka Nile mtaji [emoji2] [emoji2] [emoji2]
wa hivyo mtaani wako kibao,sema tatizo mpaka wawe maarufu ndio tunataka kuhonga mtaji.Kitaa kuna wengine walimuona wa kawaida,ila baada ya kuonekana kwa kioo nao wanataka mzigo.
 
Kula kwa macho, kukojoa bure dabwa dabwa...!
 
Nisiwe mnafiki nikiona mwanamke mzuri kama huyo akiwa anafanya kazi ambayo haina hadhi kama yake roho inaniuma sana au ukute mwanamke mzuri halafu awe anafanya kazi bar anashikwa shikwa makalio au anajiuza roho inaniuma sana

Wanawake kama hao wanatakiwa uwakute wapo wanafanya kazi wizarani na maofisi makubwa makubwa
Elimu ndio mtihani kwao
maana wengi huwa hawapendi shule wanajivunia uzuri wao.
Wachache sana wenye kujitambua ndio wanazingatia elimu na kufanya kazi za maana.
 
Back
Top Bottom