princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Shem wetu huyo wa w.c.bHuyo fayma anatoka na rayvany
Sasa ww utaongea nn hata nikikupa namba km boss wko abdu kiba kashindwa ww utawezaNisaidie # zake basi mkuu nataka Nile mtaji [emoji2] [emoji2] [emoji2]
utaweza kuhudumia?Mkuu mi huyo mtoto nikiwa nae simchoki mtoto anavutia kila idara
Mungu nipe na mimi[emoji2] [emoji2]
Kumbe alipata kuwa mweusi??hio rangi ndio inawazuzua..
huyu demu alivokua mweusi alikua mbaya sana
Benki gani inayotoa mikopoOi nimechukua mkopo benki nipe no zake
yes alikua na rangi ya kawaida kabisaKumbe alipata kuwa mweusi??
Ipo haja ya kuzungumza na mama ummy apige marufuku haya matakataka ya kubadili rangi ya mtu!
Ama kweli huko dar ukimpoteza mtu kwa miaka miwili usitegemee kumpata kabisa!yes alikua na rangi ya kawaida kabisa
sio mweusi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu mi huyo mtoto nikiwa nae simchoki mtoto anavutia kila idara
Mungu nipe na mimi[emoji2] [emoji2]
Makupuku benkBenki gani inayotoa mikopo
Wivu kwa vile wewe humuwezi unadhani na wenzako piaDogo janja hamuwezi huyu dogo sio kweli