Video Queens wa bongo na skendo za picha chafu!

Video Queens wa bongo na skendo za picha chafu!

Hzo picha mbona zipo vizur tu...kuziangalia haimaanishi tunaondoka na vidude vyao,acha tuendane na kasi ya dunia
 
Hivi karibuni vijana wengi wa kike wanaotumiwa na wasanii wetu katika utengenezaji wa video zao wamekuwa na mtindo mchafu wa kupiga picha za nusu uchi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii,swali la kujiuliza hapa je ni lazima vijana hawa kukaa nusu uchi ndo wapate kazi au kuna biashara zingine wanazifanya kwa mgongo wa kuwa video queens?maana sasa imekuwa kero kila ukiingia kwenye mitandao ya kijamii unakutana na picha zao kwa kweli ndo maana kumekuwa na wimbi kubwa la kumomonyoka kwa maadili Tanzania!View attachment 377512View attachment 377514View attachment 377515View attachment 377516View attachment 377517
Delicious alikamatwa kwa idhin ya Muheshimiwa Kigwangwala,hawa wanavibali vya kutoa huduma au?
 
Hivi mwanaume akipiga picha kavaa boksa tu yupo kifua waz nae anakuwa kapiga picha za utupu, au ni kwa jamii za kike tyu
 
Sasa kama ni hivi tuna subiri nini kuhalalisha prostitution TRA wajipigie kodi?
 
Inawezekana wewe una tatizo la kuelewa
video queen kukaa uchi ni sehemu ya kazi hiyo

Sasa kama mimi nna binti halafu nimruhusu awe video queen.siezi shangaa akipiga picha uchi
kumbuka 'hadi nimruhusu awe video queen'

Hutaki binti yako apige picha uchi basi usimruhusu awe video queen...
Naomba usijibu tena chochote ushamaliza kk hutaki usimruhusu mwanao kuwa video quen la cvyo msitupigie kelele mitandaoni!
 
Oh sawa sawa ,

Zamani kulikua na usemi maarufu sana 'Dunia imevaa sketi'

Kwa maoni yako haya sijui sasa hivi itakua imevaa nini


Hivi mtoto kuona uchi wa baba/mama au baba/mama kuona uchi wa mwanae sio laana ?

Hapa naongelea utamaduni wa Kiafrika
Hakuna cha utamaduni uncle sisi tushakwama ukitaka upasuke mdomo ongea kuhusu mmonyoko wa maadili utapiga kelele weeeeeee ila tukubali as long as tumekubali kwamba entertainment(film,modeling,music) nazo ni ajira bc tuwe wapole tu hzo kazi huwezi zuia watu wasikae uchi cha msingi pigania familia yko kwamba mm ctaki mwanangu afanye kazi flan ukitaka kupigania na familia za wengne sababu ya uzalendo utakufa mapema!
 
Papuch now days hiana thaman n.kama dustbin tu
 
Back
Top Bottom