steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
kala mtu anakura kwa mtindo wakeHivi karibuni vijana wengi wa kike wanaotumiwa na wasanii wetu katika utengenezaji wa video zao wamekuwa na mtindo mchafu wa kupiga picha za nusu uchi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii,swali la kujiuliza hapa je ni lazima vijana hawa kukaa nusu uchi ndo wapate kazi au kuna biashara zingine wanazifanya kwa mgongo wa kuwa video queens?maana sasa imekuwa kero kila ukiingia kwenye mitandao ya kijamii unakutana na picha zao kwa kweli ndo maana kumekuwa na wimbi kubwa la kumomonyoka kwa maadili Tanzania!View attachment 377512View attachment 377514View attachment 377515View attachment 377516View attachment 377517