Video queens wa Diamond kwenye my number one


Sasa naanza kuamini ww ni taahira, behind the scene ya hiyo video Diamond dakika 8:07 kafunguka" hii staili ilibuniwa na dancers wangu na mozes alienda kuwafundusha wale wadada namna ya kudance hizo staili... sasa kvp amebuni Diamond, wakat anakiri mwenyewe kuwa imebuniwa na dancers wake,,,, kua kijana alafu acha utoto
NB: ACHA KUJIPENDEKEZA
 
Jamani Kisula hajipendekezi kwa Diamond. Ni kweli anafanya kazi kwake. Mbona mnakua na vijiba vya roho ivo!? Ebooo
 
utanielewa vipi na wakati wewe mwenyewe ujielewi wala haujitambui??...eti PR wa Domo,,my a$$..
huyu dogo anaaibisha wasafi kama yeye ndo anahusika na udaku wa huko,shame on him
 
Kuiga si kitu kibaya saaaaaaana!!....but me naona ile cheza ya madoido ipo pia kwenye music video ya MI CASA(SouthAfrica)...nyimbo inaitwa JIKA.....Nice moves!!.....Ila na mm nawapemda wale warembo walivyoincorporate hii style kwenye MY NUMBER ONE...

Nakubaliana nawe Ntakasi..kuiga si kitu kibaya iwapo utamu'acknowledge' unayemuiga, na sio kubadili kitu kidogo halafu uka'brand' jina lako 'Ngololo'...hiyo kwenye sayansi tunasema ni 'plagiarism'!
 
Last edited by a moderator:
And show me how they ahaa aah,dah sema style mhh haiigiki hat ni ngum vbay sana,wako fasta sana,om tulikuw tunajaribu takriban mar mia ila wap,aah so interesting uchezaji,unavutia sana,dah ubunifu wa ma dancer mia sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Wadada wanacheza vizur sana af watamu kweli nkimaanisha wazuri...hasa yule wa kati
 

mkuu acha uongo diamond mwenyewe alisema dancers wake ndo walibuni ile style,labda jina tu ndo alibuni yeye..

upambe kweli nuksi,hadi unakataa kitu ambacho bosi wako kakikubali.?

au unafikiri hatujui kua diamond anafundishwa kucheza na dancers wake.?

cC:: matumbo
 
Last edited by a moderator:

Aliisema wap hiyo kauli ndugu.
ama umechanganya mneno
 
Last edited by a moderator:

Tatizo la uyu ----- kuruhusiwa kuingia bedroom kwa Diamond kutandika kitanda ameshajiona zaidi ya bi. Sandra...eti anajua hadi wakati gani Domo yupo in love mida gani anaskia huzuni etc
 
Last edited by a moderator:
I love the song...I love the dance..I love the video...lakini kiukweli, ni nini tofauti kati ya 'Ngololo dance' na 'Azompto'? Kuna wakati nahisi Platinumz alikopi ile dance.

heaven on desert comment bila kuwa biased...


ukiangalia nyimbo za ghana wanazo cheza azonto utaona haina tofauti na ngololo sasana ameongezea kulamba vidole
 
ukiangalia nyimbo za ghana wanazo cheza azonto utaona haina tofauti na ngololo sasana ameongezea kulamba vidole

Pale wanapolamba midomo ndo wananiacha hoi,khaa watoto hatar wale

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
your sister cares.

Pwahahahaha....na kuna chalii mmoja anajiita "ur girlfreind favourate presenter" na mimi nikijiita "ur girlfreind favourate jf member" kuna ubaya!?
 
Pwahahahaha....na kuna chalii mmoja anajiita "ur girlfreind favourate presenter" na mimi nikijiita "ur girlfreind favourate jf member" kuna ubaya!?

mimi nakuita "my favourate d!ck sucker"....
 
I do care,coz na mm natak kutoa music video ndo maana nauliza nani kawafundisha wale warembo kuyarudi vile na mm anifundishie madancer wangu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mtafute Kanda bongoman,hakuna jipya hakuna ubunifu hapo,ni ujanja tu wa kumodifai vitu vya wenyewe!Bora tu wangecheza ndomboro!ndomboro!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…