Msema yote
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 448
- 299
WATU KUJIFANYA WANAJUA WAKATI HAWAJUI...........
aliebuni uchezaji huo ni Diamond wakati anjiaandaa kwenda kushoot.na aliibuni wakti kwakifanya tu mazoezi ya kawaida
.. akawafundisha dancers ambapo moze ni kiongoz wa dancers
na ndio mana alienda nae kushirik kwenye video pia kusaidia kufundisha hiyo stayle..
Sasa naanza kuamini ww ni taahira, behind the scene ya hiyo video Diamond dakika 8:07 kafunguka" hii staili ilibuniwa na dancers wangu na mozes alienda kuwafundusha wale wadada namna ya kudance hizo staili... sasa kvp amebuni Diamond, wakat anakiri mwenyewe kuwa imebuniwa na dancers wake,,,, kua kijana alafu acha utoto
NB: ACHA KUJIPENDEKEZA