nani amekuuliza mbona mbeya sana au ww ni mutu ya mombasa.
Halafu wale watoto wanaonekana wakishua,maana wanamuzik wengi wanapenda kuchukua makahaba tu bora liende,wale ni proffessionals,yule mtoto wa kati mtamu dah anavyotoa ulimi na kulamba kidole duh,sijui kama ndomo hajapita pale,yaan naichek apa kwa laptop dah kitu cleaaaaar watoto safi hawanuki nuki wale ovyo
Na kw taarifa tu,ule uchezaji wao wote Diamond ndie aliewafundisha.
Jamani Kisula hajipendekezi kwa Diamond. Ni kweli anafanya kazi kwake. Mbona mnakua na vijiba vya roho ivo!? Ebooo
Hii video mpya ya MY NUMBER ONE ya diamond ,imenifany nimkubali sana,nyimbo iko poa sana ila kikubwa kilichofanya niipende ni wale video queens wake jinsi wanavyocheza kwa ubunifu wa hali ya juu,ki ukweli uwa najisikia raha sana wanavyocheza na kujishika shika,dah bas naona rahaa,sana sana pale inapokaribia kuisha dah,watoto wanajua sana wako vizur sana,video imetulia na wadada wamekamua inavyotakiwa,kazi nzuri sana,na style yao ni ngumu sana kui copy
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nyie wote watoto wa juzi tu kwa taarifa yenu hiyo staili ni ya zamani sana ya kanda bongo man kama mnaikumbuka inde moniii inde monieee inde inde itafuteni hiyo video muiangalie
Dah ukweli mtupu mkuu
Sawa lakini hiyo ilikuwa ni enzi hizo. Na sasa tunazungumzia ualisia wa ubunifu wa huyu kijana. Achana na habari inde moni