Video: Raia Wakenya wachachamaa baada ya mtu aliyejitambulisha kama Afisa wa Polisi kuhisiwa kutaka kumteka mwananchi mwenzao

Video: Raia Wakenya wachachamaa baada ya mtu aliyejitambulisha kama Afisa wa Polisi kuhisiwa kutaka kumteka mwananchi mwenzao

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kama ilivyotokea Kinondoni miezi michache nyuma, Wakenya nao wameamua kuchachamaa

Soma: Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

Huko nchini Kenya eneo la Roysambu, kumetokea sintofahamu baada ya wananchi kuzuia kitendo cha mwananchi mwenzao kutekwa.




Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao, mtu aliyeonekana kuwa anatekwa alikuwa akijibizana na mtu aliyejitambulisha kama askari huku wananchi wengine wakiwa wanatazama.
 
Back
Top Bottom