MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kila siku tunawaambia humu adui wa maendeleo Tz ni nyie wenyewe na ushirikina wenu, hadi Rais anaeleza mlivyomsumbua enzi zake akiwa waziri, kila akijenga daraja mnaliroga mpaka ikabidi akatambike kwa mzee fulani ndio mambo yakaenda.
Amewaomba hao washirikina watume radi ziwafuate watu waliokua wanaharibu.
Amewaomba hao washirikina watume radi ziwafuate watu waliokua wanaharibu.