Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Na huo ndo utanzania,huwezi kuona kitu kama hicho kenya,wao mda wote wamekunja sura tu watu wamekasirika mda woteTatizo la magufuli huwa ana utani na masiala mengi, kiasi kwamba mpaka huwa anatoka kwenye misingi.