Kuna kauli nyingine huwa hazina haja ya kizitoa mbele ya watu!! Hasa ukiwa kama kiongozi! Kama hilo la uchawi sumbawanga daaa, jana amelisisitiza hadi walipotoa mbuzi na pombe ndio daraja likajengeka!! Mala hiki kiwingu kuna mtu anatafutwa!! Hotuba za kusoma huwa zina uzuri wakeTatizo la magufuli huwa ana utani na masiala mengi, kiasi kwamba mpaka huwa anatoka kwenye misingi.
Take it easy. Alikuwa anafanya jokes tu kutokana na simulizi za eneo alilokuwapo. Isikusumbue sana, ni masihara tu mazeeKila siku tunawaambia humu adui wa maendeleo Tz ni nyie wenyewe na ushirikina wenu, hadi rais anaeleza mlivyomsumbua enzi zake akiwa waziri, kila akijenga daraja mnaliroga mpaka ikabidi akatambike kwa mzee fulani ndio mambo yakaenda.
Amewaomba hao washirikina watume radi ziwafuate watu waliokua wanaharibu.
Barabara murua kabisa inafika Burundi, Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Malawi
Tanzania inazidi kupanua mtandao wake wa barabara
View attachment 1225816View attachment 1225817View attachment 1225818View attachment 1225819
wale ni watani mkuu ukilichukua jinsi lilivyo utafika mbaliKuna kauli nyingine huwa hazina haja ya kizitoa mbele ya watu!! Hasa ukiwa kama kiongozi! Kama hilo la uchawi sumbawanga daaa, jana amelisisitiza hadi walipotoa mbuzi na pombe ndio daraja likajengeka!! Mala hiki kiwingu kuna mtu anatafutwa!! Hotuba za kusoma huwa zina uzuri wake
JPM kapaniaKumbe Katavi kumekucha na barabara nzuri kabisa
Tz haiamini ktk uchawi, huyo mh. akiwa kama kiongozi wkt huo labda alishirikiana na wa.kei ktk kuamini kuwa mtu anaweza kuloga daraja. Hii ni ajabu kabisa maana haina ushahidi wowote, kuloga ingekuwa hivyo rahisi basi wachawi wangehamishia mlima kilimanjaro pale Kiambu County.Kila siku tunawaambia humu adui wa maendeleo Tz ni nyie wenyewe na ushirikina wenu, hadi rais anaeleza mlivyomsumbua enzi zake akiwa waziri, kila akijenga daraja mnaliroga mpaka ikabidi akatambike kwa mzee fulani ndio mambo yakaenda.
Amewaomba hao washirikina watume radi ziwafuate watu waliokua wanaharibu.
Ni JK mkuuJPM kapania
Ndio kusema nini ndugu?masiala
Au wewe ni mkenya, maana sitegemei Mtanzania asielewe maana ya "masiala"Ndio kusema nini ndugu?
"Masihara" it simply means the act of not being serious.Ndio kusema nini ndugu?
Ahsante!"Masihara" it simply means the act of not being serious.