Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Gusa maslahi ya Simba na Yanga ndiyo utajua hujui, kwenye mambo ya kipumbavu tupo vizuri sn😥 Watanzania wavivu wa kila kitu ndiomana tunapelekeshwa..!!
Na hao viongozi washatujua udhaifu wetu na wao wanapitia humo humo.
Ruto yeye amenawa mikono na meshiriiana na vyombo vingine pamoja ma mamlaka zingine kuthibitisha hatkuwa na msukumo wala mkono juu ya Jeshi.What I know is that the President shifts the blame to the Police Chief. But utekaji utakuwa pale pale.
😅😅Gusa maslahi ya Simba na Yanga ndiyo utajua hujui, kwenye mambo ya kipumbavu tupo vizuri sn
Aibu kubwa snMheshimiwa Samia Suluhu Hassani siafanye hivyo na yeye jamani ,kila siku watu wanatekwa na Rais yupo kimya sana
Yana akili basiUnajivua nguo kweupe kabisa bila aibu
Ni huzuni tupu 😥Gusa maslahi ya Simba na Yanga ndiyo utajua hujui, kwenye mambo ya kipumbavu tupo vizuri sn
Inahuzunisha sanaAibu kubwa sn
Unapoongoza watu wapumbavu kama watanganyika usipotajirika ni ujinga wako, wapo busy na mambo ya kipumbavu huwezi kukuta mjadala wa namna ya kubuni miradi, masoko wala maendeleo ya nchi yao, wao ni Simba na Yanga pekee, pia mtumishi wa umma asipoiba wanamuona kama hana akili timamu wanataka aibe atajirike awanunulie pombe na kuwapa misaada kwenye harusi na misibaNi huzuni tupu 😥
Body language yake bado anajiuma una, kama hana hakika na maamuzi yake. Ila kajitahidi.Hata hivyo amejitahidi sana. He is so bold
Ikitolewa kauli kama hii njoo uniite 🐕 nipo hapaBado kwetu TZ
Ni mwanzo mzuri hat kujitokez hadharni wengi hawaweziBody language yake bado anajiuma una, kama hana hakika na maamuzi yake. Ila kajitahidi.
Well spoken Mkuu 👏Unapoongoza watu wapumbavu kama watanganyika usipotajirika ni ujinga wako, wapo busy na mambo ya kipumbavu huwezi kukuta mjadala wa namna ya kubuni miradi, masoko wala maendeleo ya nchi yao, wao ni Simba na Yanga pekee, pia mtumishi wa umma asipoiba wanamuona kama hana akili timamu wanataka aibe atajirike awanunulie pombe na kuwapa misaada kwenye harusi na misiba
we kwel ni kipara kipyaWatekaji huku kwetu ni Mariah sarungi,lissu na Heche ...
Kafanya vizuriRais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
View attachment 3289809
Watanzania sisi wenyewe ndio tatizo, uvivu unapelekea kuona ni sawa kupewa rushwa na viongozi kwa kodi zetu ambazo zilitakiwa zifanye maendeleo…!!Unapoongoza watu wapumbavu kama watanganyika usipotajirika ni ujinga wako, wapo busy na mambo ya kipumbavu huwezi kukuta mjadala wa namna ya kubuni miradi, masoko wala maendeleo ya nchi yao, wao ni Simba na Yanga pekee, pia mtumishi wa umma asipoiba wanamuona kama hana akili timamu wanataka aibe atajirike awanunulie pombe na kuwapa misaada kwenye harusi na misiba
Mimi nalia na hawa watu wanaitwa wasomi ndiyo wanaongoza kwa ujinga kuliko wasiosoma, kila mmoja anawaza kusifia apate uteuzi aibe mali za umma. Pumbavu kabisaWatanzania sisi wenyewe ndio tatizo, uvivu unapelekea kuona ni sawa kupewa rushwa na viongozi kwa kodi zetu ambazo zilitakiwa zifanye maendeleo…!!
Tungekuwa na msimamo tuwakazie uone km wataleta ujinga, ila ndio hivyo UNAFKI umetujaa sisi kwa sisi…😥