Video: Rais Rutto akumbana na shida ya umeme wakati anahutubia

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Ukiuliza wananchi ambao wako bize kusifia nchi jirani, basi ni watanzania, yuko tayari asifie Rwanda, Uganda na kila mahali, lakini yuko tayari kudharau nchi yake.

Haya sasa, hata Kenya matatizo ya umeme yapo, lakini huwezi wasikia wanadharau nchi yao.
Your browser is not able to display this video.
---
Katika hali isiyokuwa ya kawaida umeme umekatika mara mbili wakati Rais wa Kenya William Ruto akihutubia katika kikao cha makatibu wakuu, wabunge na maafisa wengine wa Serikali.

Rais Ruto alilazimika kukatisha kwa muda hotuba hiyo umeme ulipokatika mara ya kwanza na kuendelea baada ya taa kuwaka, hata hivyo aliendelea kuzungumza ulipokatika mara ya pili na kuhitimisha hotuba hiyo iliyofanyika katika mji wa Naivasha ambapo chama cha Kenya Kwanza kimewakutanisha watumishi wa ngazi za juu serikalini wakiwa na lengo la kutathmini utendaji wa Serikali ya Rais Ruto mwaka wa pili tangu ashinde uchaguzi mkuu.
 
Kwanini mjilinganishe na KQ
 
kwa hiyo unataka kuhalalisha kukatika umeme Tz kwa kurefer jirani kukatikiwa umeme?
 
Chawa buana..
Kwa hiyo hilo tukio la Kenya linahalalisha mgao sugu wa umeme Tanzania?

Ukiacha maporomoko ya kufua umeme, je Kenya wana hazina kubwa ya gesi kama Tanzania?
 
Kweli kuna watu na viatu! Jichunguze utagundua uko kundi lipi hapo.
Hivi hii kizazi yenu ya sasa ya machawa wa ccm inaweza kupatikana sehemu nyingine duniani au ni nchi hii kama ilivyo Tanzanite?
 
Sisi tunahitaji umeme, na huduma za msingi haijalishi kwa jirani kuna nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…