Video: Rais Samia ampisha kwa muda kukalia kiti cha Urais mwanafunzi aliyesema anatamani kuwa Rais

Nakumbuka siyo mara yake ya kwanza kuwapisha WATOTO. Lakini katu, hataki kuwapisha WATU WAZIMA wanaoutaka uraisi.
 
CCM maigizo ni kawaida yao miaka ya Uchaguzi,wengine wanakuna mpaka mpaka nazi mitaani
 
Huyo ndo rais wa kwanza kukaa madarakani ndani ya dakika tano(5)πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…