Video: Rais Tinubu wa Nigeria akiwa ziarani Ufaransa

Video: Rais Tinubu wa Nigeria akiwa ziarani Ufaransa

kumbe wanaijeria wanajua Kiswahili!! nimesikia neno "upepo".
 
Sijajua aliwezaje kuwashawishi WaNigeria zaidi ya milioni 100+ kumchagua.
Ulimwengu huu wa kupenda pesa, bado unazungumzia ushawishi wa mwanasiasa?

Si uliona kilichotokea Marekani mwaka 2020 na almost kingetokea mwaka huu pia, kama Trump angeshindwa? That's how far money can take those who place it above honor and integrity.
 
Angalieni viatu alivyo vaa. Walioandaa hii ziara hawakujua kwamba mzee wanamvalisha viatu oversize?
Labda ni lugha-picha kwamba madaraka yamempwaya kama viatu vyake? Ngoja mkatunist Kipanya aje atufafanulie hapa.
 
Oops_.. Should have listened.jpg
Oops_.. Should have listened.jpg
😭😭😭😭Afrika🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Akitembea kwenye red capet

View attachment 3166383
Ufaransa wanamjaza tu maana kanchi ka ufaransa kanafaidika sana na rasilimali za afrika ndio maana wamekatimua huko afrika ya kati.
Jana nimetazama kisa cha gavana wa bank ya nigeria aliyetimuliwa ambaye alikuwa gavana toka 2016, jamaa katika kipindi chake inasemekana over 13 billion dollars zimepotea bila maelezo. Kabla ya uchaguzi walifoji barua ya rais yani executive order, wakatoa dollar milioni 6.8 kwenye hifadhi ya dollar bank kuu, zilipoelekea hawajui ila tukio la kuzitoa lilinaswa na kamera.
Ila Afrika, yani afrika ni zaidi ya noma.
 
Back
Top Bottom