Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Ulimwengu huu wa kupenda pesa, bado unazungumzia ushawishi wa mwanasiasa?Sijajua aliwezaje kuwashawishi WaNigeria zaidi ya milioni 100+ kumchagua.
Labda ni lugha-picha kwamba madaraka yamempwaya kama viatu vyake? Ngoja mkatunist Kipanya aje atufafanulie hapa.Angalieni viatu alivyo vaa. Walioandaa hii ziara hawakujua kwamba mzee wanamvalisha viatu oversize?
How?Huyu Babu ni CIA
Labda ciafu๐Huyu Babu ni CIA
Ufaransa wanamjaza tu maana kanchi ka ufaransa kanafaidika sana na rasilimali za afrika ndio maana wamekatimua huko afrika ya kati.