VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

Asante kwa kunikumbusha. Sasa hii ni aibu kwa jumuiya nzima, kama huyu ndio kiongozi wa jumuiya ni kitu gani watajadiliana humo? Namna ya kupata viongozi inapaswa kuangaliwa upya.
Iwe kama EU,
Rais wa European Commission na Council sio Rais wa nchi yoyote mwanachama.
 
Huyu na Biden wanatofauti gani? Awaachie vijana bwana, na vijana changamkeni acheni kulala hadi saa 4
Biden amechaguliwa kwa uchaguzi huru na wa haki na ana miaka 3 tu madarakani, akikaa sana madarakani ni miaka 8. Pia wananchi wake wana uwezo wa kumuondoa.

Huyu wa Sudan ana miaka 18 madarakani kwa njia za kidikteta, hawezi kuondolewa na raia mpaka afe au apende mwenyewe kuondoka.
 
18 years!!! Duh😄
 
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.

Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Papaa aliwahi kupewa uenyekiti wa sadcc. Sijui aliongea lugha gani huko mikutanoni.
 
Nadhan hiyo post ni rotational...pia unaweza Kuta Sudan brings more to the community kuliko hizo speeches tamu tamu kama za kina lizarius chakwera wa Malawi...

Alafu waafrika na speeches na debates ni vitu vya kuwaiga wakoloni... sidhani kama machifu wa zamani kama kina mangungo walikua hodari sana wa kutoa hotuba za kusisimua.
Huu ni mwaka wa 2023.
 
Mapenzi hupofusha,

Huwezi ukaona hata uambiwe nini

Hapo unaona jamaa kakaa madarakani miaka miwili tu.
Mbowe kuwa m/kitu Chadema kwa miaka 100 haina athari kama hizi za ccm kukaa madarakani kwa miaka 60+
 
Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu.

Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya Marais wa Nchi nyingine za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

And we expect development in Africa, imagine huyu ni decision maker nchini kwake, Africa, dark continent.

Hawezi hata kusoma, anaongoza nini huyu.?
 
Africans are not complete human beings they are still in evolution.
 
Eee Mungu tubariki watoto wako Waafrika maana tuna changamoto nyingi sana.
Amina.
 
Back
Top Bottom