VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

Asante kwa kunikumbusha. Sasa hii ni aibu kwa jumuiya nzima, kama huyu ndio kiongozi wa jumuiya ni kitu gani watajadiliana humo? Namna ya kupata viongozi inapaswa kuangaliwa upya.
Iwe kama EU,
Rais wa European Commission na Council sio Rais wa nchi yoyote mwanachama.
 
Huyu na Biden wanatofauti gani? Awaachie vijana bwana, na vijana changamkeni acheni kulala hadi saa 4
Biden amechaguliwa kwa uchaguzi huru na wa haki na ana miaka 3 tu madarakani, akikaa sana madarakani ni miaka 8. Pia wananchi wake wana uwezo wa kumuondoa.

Huyu wa Sudan ana miaka 18 madarakani kwa njia za kidikteta, hawezi kuondolewa na raia mpaka afe au apende mwenyewe kuondoka.
 

18 years!!! Duh😄
 
Papaa aliwahi kupewa uenyekiti wa sadcc. Sijui aliongea lugha gani huko mikutanoni.
 
Issue siyo ugonjwa. Ni umri umeeenda. Jinga sana hílií
At 72yrs, sio umri mkubwa sana kulinganisha na viongozi wengine kadhaa. Joe Biden ana 81, Joseph Boakai ana 78, Museveni ana 79.
 
Huu ni mwaka wa 2023.
 
Mapenzi hupofusha,

Huwezi ukaona hata uambiwe nini


Hapo unaona jamaa kakaa madarakani miaka miwili tu.
Mbowe kuwa m/kitu Chadema kwa miaka 100 haina athari kama hizi za ccm kukaa madarakani kwa miaka 60+
 


And we expect development in Africa, imagine huyu ni decision maker nchini kwake, Africa, dark continent.

Hawezi hata kusoma, anaongoza nini huyu.?
 
Africans are not complete human beings they are still in evolution.
 
Eee Mungu tubariki watoto wako Waafrika maana tuna changamoto nyingi sana.
Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…