VIDEO: RAYVANNY afanya Kufuru na warembo huko Miami Marekani

VIDEO: RAYVANNY afanya Kufuru na warembo huko Miami Marekani

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154


VIDEO : @rayvanny afanya Kufuru na warembo huko Miami Marekani... Tazama hii Akichekelea mrembo@iamveravendetta anayecheza Nusu Utupu.... Full Kujiachia.

Ikiwa bado anaendelea kufanya matanuzi na kusaini business deal na boss wake diamond platinumz pande za marekani. rayvany anaendelea kuchekelea maisha na warembo wa marekani.
 
Miaka michache ijayo...zao la pamba linaweza kupotea...nahisi Nguo zitakuwa hazivaliwi
Kondoo aina ya merino bado wapo wakutosha kwa ajili ya sufi,na pia nlyon bado mkuu,anyway tutafika tu kadri wanavyotaka iwe
 
Back
Top Bottom