VIDEO: Rich Mavoko(KokoroMaster) alivyotikisa kwenye After Skul Bash

Mtaa umeongea! # kokoro ishapenya.. Nyumbani imebamba, kimataifa ndio usiseme

Hii ndio WCB wajuzi wa hizi kazi! Big up mavoko, big up chibu..

Basi majirani zetu wananunaje hapo, wamemaindiiiiii [emoji23] [emoji23]

Nifah naweza kupata complimentary tickets mbili VIP show ya Tarehe 24, are you in?? Natamani nikupeleke usafini mama..
 

Yes I'm darling, why not?
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Can't wait

BTW hakuna chuki,tunapenda kusikia habari kama hizi.
#TaifaKwanza#
 
Yes I'm darling, why not?
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Can't wait

BTW hakuna chuki,tunapenda kusikia habari kama hizi.
#TaifaKwanza#
Can't wait.. [emoji4]

Nitakupa Zawadi kukuimbia 'Aje' with acoustic guitar.. Ntakuimbia kile kipande cha kifaransa unachokipendaga..
".. viens mon amour, je suis quelque dubie, je vais veille sur moi, c'est toi mal joie, je ne peux etre content sans toi, je vais veille sur toi.... basi mwambie aaajee, ajeeee.."

Hahahahah! You will love it hny [emoji4] [emoji4]
 

Uwiiiiiiii mbona nitadata?
Hizo ndio zile mambo napendaga baby
Awwwwww

Of course darling, I'll...
Can't wait [emoji39] [emoji8]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…