data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Naifuata... 9![]()
Naona video inazingua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naifuata... 9![]()
Naona video inazingua
Kuanzia sangapi?, sh ngapi?Tar 24 hapatakalika wasafi ndani ya jangwani sea breeze hatari sana karibuni wote....hata wazee wa ndondo cup mnakaribishwa sana
Avatar yako tu ilivo andikwa ni kielelezo tosha kuwa wewe basi tenaDUUH MIDUME HIYOOOO[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...imekariri kokoro kuliko wimbo wa taifa
Kuanzia saa 8 mchana adi majogooKuanzia sangapi?, sh ngapi?
Hao wote walipandaNavuta picha angepanda Darasa,au Ally Kiba.
Umemjibu vizuri.Hao wote walipanda
Mtaa umeongea! # kokoro ishapenya.. Nyumbani imebamba, kimataifa ndio usiseme
Hii ndio WCB wajuzi wa hizi kazi! Big up mavoko, big up chibu..
Basi majirani zetu wananunaje hapo, wamemaindiiiiii [emoji23] [emoji23]
Nifah naweza kupata complimentary tickets mbili VIP show ya Tarehe 24, are you in?? Natamani nikupeleke usafini mama..
Can't wait.. [emoji4]Yes I'm darling, why not?
[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Can't wait
BTW hakuna chuki,tunapenda kusikia habari kama hizi.
#TaifaKwanza#
Darasa alipanda.. kiba alikuwa busy na tuzo za mikono..Navuta picha angepanda Darasa,au Ally Kiba.
Kiba alipanda na ommy dimpozDarasa alipanda.. kiba alikuwa busy na tuzo za mikono..
Leteni basi tulinganishe mazogo tuone nani alishangiliwa zaidKiba alipanda na ommy dimpoz
Can't wait.. [emoji4]
Nitakupa Zawadi kukuimbia 'Aje' with acoustic guitar.. Ntakuimbia kile kipande cha kifaransa unachokipendaga..
".. viens mon amour, je suis quelque dubie, je vais veille sur moi, c'est toi mal joie, je ne peux etre content sans toi, je vais veille sur toi.... basi mwambie aaajee, ajeeee.."
Hahahahah! You will love it hny [emoji4] [emoji4]