Wakushi wanaamini kuwa The Mount Kilimanjaro ni urithi wao toka kwa Suleiman baba yao.
Kosa yote na sio akiliHuu upuuzi ndo ule madereva wa gari hufanya,mwisho ajali.
KWA nn asingeenda kutua dadaaa!je details za Hali ya hewa zinge change ghafla?
.Miezi michache ijayo nitaipandisha bendera ya Jf mount Kilimanjaro
Nitakujulisha mda ukifika Ila mwaka huuhuu na nitaenda ofsini jf kuomba waniandalie benderaTutakuwa pamoja chief
.
Punguza carbon footprint yako, change begins with you.barafu hamna kabisa
Hahaha mnavituko nyieAchana na huyo semenya mkuu,bado hajapona bawasiri.
Hata hizo ajali sometime unaaminishwa ni Tatzo,si zote huwa hivyo,zingine ndo uzembe/sifa kama hizoUkute hata kuendesha gari hamjui lakini hapa mnamuona rubani na tower controllers hawana akili kuliko nyie!!! Hivi kwa akili zenu mnadhani huyo rubani na tower controllers walikuwa hawajui wanachofanya?! Hivi kwa akili zenu, endapo wangeona kuna risk wangefanya walichofanya? Risk kubwa kwa Mt Kilimanjaro au mlima wowote ule ni ukungu! Kwa mnavyoona hizo clips kuna ukungu wowote kileleni?
Mzuka wanajamvi!
Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God.
The majestic Kilimanjaro our national pride! View attachment 1906716View attachment 1906713View attachment 1906714