Video: Rubani wa Ethiopian airlines aliomba ruhusa kuizunguka mlima Kilimanjaro akapewa

Video: Rubani wa Ethiopian airlines aliomba ruhusa kuizunguka mlima Kilimanjaro akapewa

Mzuka wanajamvi!

Rubani wa Ethiopian Airlines alipokaribia kutua KIA anga ilikuwa wazi na mawingu hayakuwepo. Akauona Kilimanjaro haraka akawaomba flight controllers KIA wamruhusu auzunguke wakamkubalia nakuwashtua abiria. Ilikuwa furaha kila mtu kwenye ndege ooh my God.

The majestic Kilimanjaro our national pride! View attachment 1906716View attachment 1906713View attachment 1906714
Pilot hes smart guy hapo ndipo wanapopigwa bao Watanzania mzungu atakwenda kumsifia mwenzake kwamba ET ni ndege bora inakupitisha mount kilimanjaro hata wakenya wanafanya hivyo smtimes.
 
Wazee wa mbonekaa...Lemosho route haijawahi kumwacha Mgumuu salamaa,nmeukumbuka sanaa Mlimaa aysee
 
Back
Top Bottom