VIDEO: Sabaya hatakiwi na hastahili kuonewa huruma hata kidogo

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda.

Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno.
Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi namna hii hadharani fikirieni ni mangapi ya kutisha aliyafanya gizani. Hakuna huruma Rais Samia atampa mtu kama huyu
 
Sasa hapo sabaya kaonesha dharau gani. Wala sabaya hana haja kuonewa huruma maana hajakosea kitu ila fisadi na dhulumati wa umma ndio walipoona magufuli hayupo wamemrukia kama chui wenye njaa kulipiza kisasi.
Sabaya atashinda majaribio yote ya fisadi. Ni muda tu. Mtamtesa ila mwanamapinduzi hatimae umma uko upande wake.
 
Back
Top Bottom