Hao unaowaona wakilia mahakamani kutaka Sabaya aachiliwe huru ni wahuni waliokodishwa na ndugu/jamaa wa Sabaya. Hiyo ni futuhi.Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda.
Unaweza kumuonea huruma, lakini ukikumbuka mambo yake, unaona hata huko aliko, adhabu aipatayo ni ndogo!Sabaya hastahili huruma wala nafuu yoyote.
1. Kuna watu aliwakata masikioSabaya hastahili huruma wala nafuu yoyote.
Sasa hapo sabaya kaonesha dharau gani. Wala sabaya hana haja kuonewa huruma maana hajakosea kitu ila fisadi na dhulumati wa umma ndio walipoona magufuli hayupo wamemrukia kama chui wenye njaa kulipiza kisasi.Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda.
Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno.
Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi namna hii hadharani fikirieni ni mangapi ya kutisha aliyafanya gizani. Hakuna huruma Rais Samia atampa mtu kama huyu