Video: Sakata la Elie Mpanzu lachukua sura Mpya. Ayaibua mengi mazito

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
Hili limechafua hali ya hewa
 
Kuhusu Mpanzu kutamani Simba ipate sare au ifungwe Goli moja itawapa unafuu kwa mechi ya pili, Mueleze ni kweli ila mpira aupo hivyo.
Mwaka 1993 Simba alipata Suluhu Abdjani dhidi ya Stella na wanafungwa DAR Goli 2 bila.

Kuhusu usajili wake, Mpanzu anajua yeye yupo Simba kwa mtindonwa thrd part ambao unatumiwa na vilabu vya Kongo.
Ukishakua katika situation ya umiliki wa watu watatu ajue yeye hana maamuzi.
Maamuzi yaliyofikiwa ikiwa yeye anafahamu au hamfahamu, mkataba wake ulikua wa miezi 6 wenye kipengele cha kuongeza mkataba kulingana na ubora wake.

Watu wamesha trigger icho kipengele Sasa afahamu kua hataongeza mkataba kwakua amesha uzwa na aelewe yeye ni bidhaa tu hana jinsi.
 
Endelea kuota angalizo usijinyee.
 
Kwahyo we ndo unajua kuliko yeye mhusika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wabongo ni nyokoo aiseee🤣
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom