Video: Salim Kikeke kuhusu Memorandum of Understanding (MoU)

Video: Salim Kikeke kuhusu Memorandum of Understanding (MoU)

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
"Inaitwa Memorandum of Understanding- Concession Agreement au Lease Agreement au utaratibu mwingine utafuata baada ya mchakato yakinifu kukamilika. Don’t worry 😉"

Tuliosoma Cuba tukiangalia na kavideo alikopost tunatambua uzalendo wake kwenye hoja hii.

=======


Kikeke.PNG
 
Inaitwa Memorandum of Understanding- Concession Agreement au Lease Agreement au utaratibu mwingine utafuata baada ya mchakato yakinifu kukamilika
Don’t worry 😉

Tuliosoma Cuba tukiangalia na kavideo alikopost tunatambua uzalendo wake kwenye hoja hii;
 
Huyu tangu atoke BBC kuna cheo anafukuzia serikaini, simshangai, ameamua kutumia issue ya bandari kama fursa kwake kujipatia ulaji toka kwa shangazi yao Samia na teuzi zake za kila siku.
 
Jana Plasduce Mbosa, Mkurugenzi Mkuu wa TPA kasema mkataba ushasainiwa halafu huyu mbweha mmoja anakuja kuongea matapishi gani sasa.
jambo hili lina ukakasi ndo maana serikali inatumia nguvu kubwa kulipush but at the end watu wataaibika kweupe hasa hawa wajinga kama akina kibajaji na msukuma ambao vichwa vyao ni vitupu kabisa.
 
Back
Top Bottom