Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Inaitwa Memorandum of Understanding- Concession Agreement au Lease Agreement au utaratibu mwingine utafuata baada ya mchakato yakinifu kukamilika
Don’t worry 😉
Tuliosoma Cuba tukiangalia na kavideo alikopost tunatambua uzalendo wake kwenye hoja hii;
Jana Plasduce Mbosa, Mkurugenzi Mkuu wa TPA kasema mkataba ushasainiwa halafu huyu mbweha mmoja anakuja kuongea matapishi gani sasa.
jambo hili lina ukakasi ndo maana serikali inatumia nguvu kubwa kulipush but at the end watu wataaibika kweupe hasa hawa wajinga kama akina kibajaji na msukuma ambao vichwa vyao ni vitupu kabisa.Jana Plasduce Mbosa, Mkurugenzi Mkuu wa TPA kasema mkataba ushasainiwa halafu huyu mbweha mmoja anakuja kuongea matapishi gani sasa.