ndiye mkuu,ni kijana wa mo town huyu!Ningependa kumfahamu Sallam,ndiyo huyu aliyesoma Forest Hill Secondary Morogoro?any member please who knows.
Teh teh, kweli wivu.Wao waliona Kiba angepata status maana kupishana na Chriss brown jukwaani ndio sababu hiyo tu ni wivu tu unawasumbua
Akili zake za kariakoo sokoni unategemea zitakua sawaWaaaai! Tena jinga la kiwango cha lami, zeee zima limekalia kulia lia tuuu, kutafuta huruma ya wananchi, mxiiuwww! Na shabiki zake ndio kutwa kumkatia kachumbari kunogesha ujinga wake.
U [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kweli eti atakuwa jini makattaKiba mgonjwa wa akili plus roho ya uchawi hapo ni kijana akizeeka atakua jini makata
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata Soudybrown anamuogopa sana Sallam[emoji23][emoji23]SK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?
Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.
Yeah is the same guyNingependa kumfahamu Sallam,ndiyo huyu aliyesoma Forest Hill Secondary Morogoro?any member please who knows.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiba mgonjwa wa akili plus roho ya uchawi hapo ni kijana akizeeka atakua jini makata
Yeye kila cku kulalamika kma mtoto wa kike kua chibu ananunua tuzo,mara kazimiwa mic mwisho atakuja kusema anamimba ya chibu[emoji3] [emoji3]U [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kweli eti atakuwa jini makatta
Kwa ufupi alietakiwa kupanda ni Wizkid kabla ya kiba nthen afuate Kiba ila Salam akamletea fitna Kiba ndio sababu ya kiba ku delay maana program haikuwa hivo halafu pia Salam na meneja wa wizkid ni marafiki na meneja wa wizkid ndio meneja wa Diamond upande wa west africa kwahiyo salam ulihhusika kumfitini kiba.shame on you.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mwendo huu huko ndo anakoelekea. Binafsi nampenda sana kiba ila tatizo kazidi ulalamishi, yaani analalamika kama mtoto yatima aliekosa chakula.Yeye kila cku kulalamika kma mtoto wa kike kua chibu ananunua tuzo,mara kazimiwa mic mwisho atakuja kusema anamimba ya chibu[emoji3] [emoji3]
Jaribu kutumia hata robo ya uwezo wa akili yako mkuu! Hatuzungumzii hisia hapa! Tunazungumzia kilichowekwa ubaoni.Kiba siyo mjinga kila siku analalamikia watu hawa tu, kuna kitu chin ya kapeti
Tatizo nyota kma mwenzake ananunua tuzo nae anunue[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mwendo huu huko ndo anakoelekea. Binafsi nampenda sana kiba ila tatizo kazidi ulalamishi, yaani analalamika kama mtoto yatima aliekosa chakula.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jibu la mwendokasiiiTatizo nyota kma mwenzake ananunua tuzo nae anunue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanakonesha gari kielekea kibraKweli kabisa, hata darasani wanafunzi wanaweza wakaelewa 87% wengine wataelewa siku nyingine, au wasielewe kabisa, hawa ndo huwa tunawaita mbumbumbu.
Wakubwa wazima unatutuma Facebook! Kuwa serious bwana.Haya Wabongo, nendeni Facebook page ya CITIZEN TV KENYA, mtajua kati ya Kiba na Chibu yupi anakubalika Kenya.
Kuendekeza ushabiki bila fact unajipoteza mwenyewe.Kwa ufupi alietakiwa kupanda ni Wizkid kabla ya kiba nthen afuate Kiba ila Salam akamletea fitna Kiba ndio sababu ya kiba ku delay maana program haikuwa hivo halafu pia Salam na meneja wa wizkid ni marafiki na meneja wa wizkid ndio meneja wa Diamond upande wa west africa kwahiyo salam ulihhusika kumfitini kiba.shame on you.