Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Nimeumizwa na swala la Mtanzania, muafrika mashariki na muafrika Alikiba kuzimiwa mic na kuambulia fedheha kwa sababu ya mmarekani Chris Brown.... Hayo mengine yaliyofanyika ni madhara ya shule na kutojua nin cha kuongea kwenye media......... Alikiba ungekaa kimya ingekuongezea heshima kuliko hii fedheha unayoambulia, hatimae tumeanza kujua hadi ambayo hayakutakiwa tuyajue.
 
Kiba mgonjwa wa akili plus roho ya uchawi hapo ni kijana akizeeka atakua jini makata
U [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kweli eti atakuwa jini makatta
 
SK mendez huwa anasema hivi "Nisipokuwa upande wako ukinipenda we utakuwa malaika" Pengine jamaa anasura fulani hivi ya wizi wizi au fitna fitna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], anasema hata wakati anaonana na Diamond kwa mara ya Kwanza Diamond alionesha "kutokumpenda". (Kutokupendezwa nae)
Nashindwa kuelewa kwanini kiba amhofie SK kila akikutana naye?
Najiuliza tu jamaa anavi nasaba vya Scorpion au Nyoso?

Binafsi I can relate anachokisema, kwasababu nina experience nacho, mara nyingi sana nikikutana na watu katika kazi mbalimbali za kijamii huwa hawaoneshi kunipenda, (hii nimeiona sana nilikopita shuleni, vyuoni, makazini kote nilikopita) baadae mtu anakiri mwenyewe kuwa nilikuwa nakuonaje sijui kumbe ni mtu poa hivi. Cha ajabu mi huwa nawapenda watu at first place labda nije niwaone waajabu baadae. I hope kuna watu washawahi kuona hichi kitu pia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata Soudybrown anamuogopa sana Sallam[emoji23][emoji23]
Sallam ndiye mbeba lawama zote za WCB[emoji23][emoji23][emoji23]
 
U [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha kweli eti atakuwa jini makatta
Yeye kila cku kulalamika kma mtoto wa kike kua chibu ananunua tuzo,mara kazimiwa mic mwisho atakuja kusema anamimba ya chibu[emoji3] [emoji3]
 
  • Thanks
Reactions: irk
Kwa ufupi alietakiwa kupanda ni Wizkid kabla ya kiba nthen afuate Kiba ila Salam akamletea fitna Kiba ndio sababu ya kiba ku delay maana program haikuwa hivo halafu pia Salam na meneja wa wizkid ni marafiki na meneja wa wizkid ndio meneja wa Diamond upande wa west africa kwahiyo salam ulihhusika kumfitini kiba.shame on you.

Kiba alivyohojiwa amesema yeye ndio alipaswa kupanda jukwaani kabla ya Wizkid
 
Yeye kila cku kulalamika kma mtoto wa kike kua chibu ananunua tuzo,mara kazimiwa mic mwisho atakuja kusema anamimba ya chibu[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa mwendo huu huko ndo anakoelekea. Binafsi nampenda sana kiba ila tatizo kazidi ulalamishi, yaani analalamika kama mtoto yatima aliekosa chakula.
 
Haya Wabongo, nendeni Facebook page ya CITIZEN TV KENYA, mtajua kati ya Kiba na Chibu yupi anakubalika Kenya.
 
Hahahaha...Eti:

Chipandi mimi...chipandi chtejini mpaka Wizikidi apande.

Sasa Alikiba alileta hiyo Amri kama nani? Yeye anajua ratiba kuliko MC, Meneja na DJ?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa ufupi alietakiwa kupanda ni Wizkid kabla ya kiba nthen afuate Kiba ila Salam akamletea fitna Kiba ndio sababu ya kiba ku delay maana program haikuwa hivo halafu pia Salam na meneja wa wizkid ni marafiki na meneja wa wizkid ndio meneja wa Diamond upande wa west africa kwahiyo salam ulihhusika kumfitini kiba.shame on you.
Kuendekeza ushabiki bila fact unajipoteza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom