Imagine, hivi ingekuwa ni yeye kafanyiwa vile dai si angeogeshwa matusi ya ujazo wa bahari? Kwa kiba ile ilikuwa sawa kabisa, wakavimba kichwa wakajiona wajanja, team yake nao wakamsifia kwa sana, leo hii SK kaonekana backstage tu povuuuuuuuuuu!yeye kiba akiulizwa atujuze hapa kilichompandisha kwenye stage na kuperform kwenye show ambayo haikuwa yake tena baada ya mwenye show yake kuperform analojibu??? Tatizo la kiba anahangaika sana kujikwenza dhidi ya dai ndio maana anatumia kila njia mpaka za suprise lakini wapi! Ndio maana Mungu kambebesha bonge la AIBU juzi nyambafuuuuuu! Oooh! Me mkubwa kenya kuliko wizd kwa! kwa! kwa! kwa! kwaaaaaaa mbavu zangu jamani, labda umri