Jiulize nini kilifanya kiba asipande jukwaani kabla ya wiz akapanda baada ya wiz kinyume na ratibaSwali kubwa ni ukweli ya kauli ya "Ukubwa wa Ally kwa Wizkid" kauli hiyo ni kweli ilitoka? najua Ally amepuyanga mengi lakini kutoa kauli kama hiyo na kuharibu shoo kwa kisa hicho inahitaji Umbumbumbu wa hali ya juu ndiyo maana napata walakini wa kauli hiyo kutoka.
Jiulize nini kilifanya kiba asipande jukwaani kabla ya wiz akapanda baada ya wiz kinyume na ratiba
Mtandao mbalimbali ndo ilireport hivyo kenya na nigeriaSwali kubwa ni ukweli ya kauli ya "Ukubwa wa Ally kwa Wizkid" kauli hiyo ni kweli ilitoka? najua Ally amepuyanga mengi lakini kutoa kauli kama hiyo na kuharibu shoo kwa kisa hicho inahitaji Umbumbumbu wa hali ya juu ndiyo maana napata walakini wa kauli hiyo kutoka.
Mtandao mbalimbali ndo ilireport hivyo kenya na nigeriaView attachment 417392
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa kuwa mitandao imeripot ndo unakuwa ukweli? kwani haiwezekani aliyezusha kuwa chanzo cha habari hiyo na mitandao/blogs kuiandika? Bado ni ngumu kuamini kuwa Tanzania tuna mwanamuziki aliyefikia kiwango hicho cha uzuzu eti kumzidi Wizkid kimuziki labda Wizkid wa Matarawe huko Songea ama wa Mombasa
Me mbona nilimuelewa siku ile ile tuSasa nimeanza kumuelewa Ben pol
Unakumbuka ile mkutano wa chama cha odm ya juzi kati Mombasa matangazo yote yalisema kwenye huwo mkutano na diamond atakuwepo lakini cha ajabu diamond kamaliza kupaform akijua ndo kamaliza kila ktu shitukia kiba anapanda kama sapraiz artist kitu ambacho kiliikera sana mgt ya domo.......so ukiangalia apo ndo utagundua kuwa kiba anapenda sana umwiny coz ilijulikana kabisa kuwa angpangwa kwny ratiba asingekubali apande kabla ya mond coz pale Mombasa anajiona yy ndo anakubalika kuliko msanii yytKwa kuwa mitandao imeripot ndo unakuwa ukweli? kwani haiwezekani aliyezusha kuwa chanzo cha habari hiyo na mitandao/blogs kuiandika? Bado ni ngumu kuamini kuwa Tanzania tuna mwanamuziki aliyefikia kiwango hicho cha uzuzu eti kumzidi Wizkid kimuziki labda Wizkid wa Matarawe huko Songea ama wa Mombasa
Na alifurahi sana Ben pol kumuomba msamaha lkn kwa domo ashakwama sasa ni mpera mpera ukimwaga ugali watu wanamwaga mbogaMe mbona nilimuelewa siku ile ile tu
Unakumbuka ile mkutano wa chama cha odm ya juzi kati Mombasa matangazo yote yalisema kwenye huwo mkutano na diamond atakuwepo lakini cha ajabu diamond kamaliza kupaform akijua ndo kamaliza kila ktu shitukia kiba anapanda kama sapraiz artist kitu ambacho kiliikera sana mgt ya domo.......so ukiangalia apo ndo utagundua kuwa kiba anapenda sana umwiny coz ilijulikana kabisa kuwa angpangwa kwny ratiba asingekubali apande kabla ya mond coz pale Mombasa anajiona yy ndo anakubalika kuliko msanii yyt
Nani alitumika kukusanya watu kwenye huwo mkutano kama cyo domo watu walienda pale wakijua atakuwepo na domo hawakwenda kuwa atakuwepo kiba...kwa nn wasiseme tokea mapema kuwa na kiba atakuwepo of coz ata mm sikupendezwaNaona umehamisha magoli si vibaya lakini ushawahi ona "suprise" ikitangazwa hiyo huja tuu na kushangaza watu. Tukirudi kwenye jambo letu la msingi naona wengi tunatumia udhaifu wake(kiba) kuhalalisha hili we hudhani kuwa karaha waliyoipata kwenye mkutano wa ODM(siyo show ya Diamond) imeamuliwa /imelipizwa katika hili tunalolizunguka hapa ??
Nani alitumika kukusanya watu mwenye huwo mkutano kama cyo domo watu walienda pale wakijua atakuwepo na domo hawakwenda kuwa atakuwepo kiba...kwa nn wasiseme tokea mapema kuwa na kiba atakuwepo of coz ata mm sikupendezwa
Mtenda akitendwa huzani kaonewa
Imagine, hivi ingekuwa ni yeye kafanyiwa vile dai si angeogeshwa matusi ya ujazo wa bahari? Kwa kiba ile ilikuwa sawa kabisa, wakavimba kichwa wakajiona wajanja, team yake nao wakamsifia kwa sana, leo hii SK kaonekana backstage tu povuuuuuuuuuu!yeye kiba akiulizwa atujuze hapa kilichompandisha kwenye stage na kuperform kwenye show ambayo haikuwa yake tena baada ya mwenye show yake kuperform analojibu??? Tatizo la kiba anahangaika sana kujikwenza dhidi ya dai ndio maana anatumia kila njia mpaka za suprise lakini wapi! Ndio maana Mungu kambebesha bonge la AIBU juzi nyambafuuuuuu! Oooh! Me mkubwa kenya kuliko wizd kwa! kwa! kwa! kwa! kwaaaaaaa mbavu zangu jamani, labda umriNa alifurahi sana Ben pol kumuomba msamaha lkn kwa domo ashakwama sasa ni mpera mpera ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga
Yeye kasahau aliingilia show ya domo mombasa ili aonekane kafunika cha ajabu show yenyewe ikamgomea aache kutembelea beef maana unajua akimuongelea domo story itakuwa kubwa
Huna factBado haina mashiko hiyo hoja kuwa Diamond(siyo Domo ni kashfa ndugu) alitumika kuleta ama kukusanya watu , lakini waijua nguvu ya ODM Kenya hadi wahitaji busta ya mwanamuziki ? hao wanamuziki waliitwa kuburudisha pia kwa Mombasa Diamond na Kiba wana ngome kule hivyo yeyote ambaye angetangazwa angekuwa na impact sawa tuu.
Pia usemapo mtendwa akitendewa maana yake unataka kuniamijisha kuwa Ally pia katendewa hili kwa kukusudia ?
Huna fact
Ndo maana akaingia kama sapraiz artist ili ale shangwe za kumwaga cha ajabu akawa kama anatumbuiza msibani....pale cyo kariakoo hakuna watupa makopo na wala viroba afu na watu washamchoka kila siku show mombas hakuna sehem nyingneImagine, hivi ingekuwa ni yeye kafanyiwa vile dai si angeogeshwa matusi ya ujazo wa bahari? Kwa kiba ile ilikuwa sawa kabisa, wakavimba kichwa wakajiona wajanja, team yake nao wakamsifia kwa sana, leo hii SK kaonekana backstage tu povuuuuuuuuuu!yeye kiba akiulizwa atujuze hapa kilichompandisha kwenye stage na kuperform kwenye show ambayo haikuwa yake tena baada ya mwenye show yake kuperform analojibu??? Tatizo la kiba anahangaika sana kujikwenza dhidi ya dai ndio maana anatumia kila njia mpaka za suprise lakini wapi! Ndio maana Mungu kambebesha bonge la AIBU juzi nyambafuuuuuu! Oooh! Me mkubwa kenya kuliko wizd kwa! kwa! kwa! kwa! kwaaaaaaa mbavu zangu jamani, labda umri
Unambwela tu ndo maana nikaona bora tu nikwambie ivo......tokea mwanzo kwenye huwo mkutano tena kwenye page ya odinga ya twitter ndo aliandika kuwa domo ndo mtumbuizaji wa huwi mkutano hakumtaja kiba ila kiba akaingilia show ya mwenzie na mlifurahi balaaUnaelewa maana ya neno fact? mie nauliza swali lijibiwe kama huna jibu unaweza pita kimya kimya.
Unambwela tu ndo maana nikaona bora tu nikwambie ivo......tokea mwanza kwenye huwo mkutano tena kwenye page ya odinga ndo aliandika kuwa domo ndo mtumbuizaji wa show hakumtaja kiba ila kiba akaingilia show ya mwenzie na mlifurahi balaa
Naona mpk unaj quote mwnyweHalafu unajisikiaje unapomwita Diamond Domo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1]Naona mpk unaj quote mwnywe