Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi

Jamani watu wa kuzima mwenge kaeni mbali na sallam hahahaa atauzima kabla ya maadhimisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Salaam ni mafioso kama akina Al Pacino kwenye ascarface.
 
Salaam ni bonge la mafia.Hii ni mara ya pili anatokea kwenye show za Ali Kiba akiwa kikazi zaidi.Waliongalia the God father movie....Salaam ni mmoja wa wanafamilia ile kutoka cisily italy.
 
Kama pesa imeingia.bado amepata faida.angerudisha pesa hapo ingekuwa tatizo.
Kama msanii mwenye malengo ya kufika sehemu hapo mbeleni, pesa sio kila kitu. .
Kuna kujijenga kama brand mkuu, na hilo ndio tatizo
 
Wasanii wetu huwa wanakosa hekima hasa alikiba sababu angesubiri baada ya kuwa na enough evidence ndo afunguke au angeacha mameneja wake waiongelee hii issue is called being smart.
Wataalamu wanasema "Dont throw a punch unless u know it will throw them down....." au
"Do not poke the bear"
Sasa anaaibika walitufumba macho hatuna bifu wala nini sasa ye kawa wa kwanza ku declare ambapo kimikakati tayari ashaonyesha weakness yake jamaa upande wa pili wanasema hatuna bif naye ye tayari ashaonekna ndo ana matatizo nao


Ali siku si nyingi mashabiki watamchoka
 
Nadhani anayetuhumiwa alikua na uwezo wa kuarange tukio bila kuonesha sura yake pale!
 
Sallam yupo makini sana, anaangalia opportunity, ndio maana Mond anatoboa aisee, tujiandae kusikia collabo Mond/Wizkid soon
WCB wanaijua vyema kazi ya Muziki. Na kwa soko la nje, Sallam analimudu vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…