Video: Sallam afunguka tuhuma za kumfanyia ‘figisu’ Ali Kiba Mombasa Rocks Music Festi


Who is diamond?? Is it a place or person
Nimemkubali huyu Mtangazaji sasa.

hawa ndio watanzangazaji sasa mtu unaelewa kila kitu.

watangazaji wa Bongo mnapaswa kuiga vitu kama hivi.

Kwa kubalansi habari au ..........??

Ningependa kumfahamu Sallam,ndiyo huyu aliyesoma Forest Hill Secondary Morogoro?any member please who knows.

mimi nilikua namskia tu ila leo ndio nimemuona


Ndo huyu huyu kasoma hapo forest

Wanaomfahamu watatujuza mkuu!
 
Sema hapo kiba alitumia akili za pro lipumba pia anaojiwa kajikunyata kama siyo kidume anatakiwa kujiamini kama king majuto anapoigiza akiendelea na mambo ya kipuuzi asishangae kupotea kimziki wakenya wametoa hela zao wewe unaanza malumbano ya nani apandekwanza jukwaani kwani ukitangulia upati hela yako Leo nimekutoa thamani sana
 
ha ha ha ha truth shall set you free... Kiba stand out as a man and apologise thats all. kila mtu atakuheshimu from there
 
Angeomba kua msanii wa suprise akapanda stage after chriss
 
Kiba analazimisha eti apande Wizkid kwanza, huyu Kiba Level yake haijui kabisaa.Bora walivyo mzimia mic ndio atajua.
Kiba siyo mjinga kila siku analalamikia watu hawa tu, kuna kitu chin ya kapeti
 
Kiba siyo mjinga kila siku analalamikia watu hawa tu, kuna kitu chin ya kapeti
Kitu gani chini ya kapeti, zaidi ya kuamini imani za kishirikina, na tatizo jingine mashabiki wa kiba wanamponza sana, wamemfanya aamini yeye ni mkali sana kuliko wote Africa, kitu ambacho sio cha kweli kabisa, eti leo anataka wizkid apande kwanza stageni, kama sio upuuzi ni nini, sifa za kina Diva zinamvimbisha kichwa, maana kipindi kizima ni anasifiwa Kiba tuu
 
Kwa hili Kiba ni mjinga ,
1.Alishasema Diamond anahonga apewe tuzo,unakubaliana nae ?

2.Alishasema hana beef na Diamond ,mbona anamuogopa Salam ?

3.Juzi kasema Salam ameenda kumzimia mic,na hili unakubaliana nalo ?
Alisema kwa kinywa chake kabisa "Salam ameenda kumzimia mic"?
 
Mfalme juaha kaumbuka aibu yake hii anatamaini kurudisha tapishi lake mdomoni ila ndio hivo neno likishatamkwa halirudi mdomoni nimeamini maneno ya kale fikiri kabla ya kutenda ,
Roho mbaya chuki wivu imani za kishirikina na kutafuta sympathy kwa watu na mashabiki ndio kifo cha carrier yako mfalme juha kibakuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa mishtusho mkurupukaji hayo matusi yenu na timu zenu mkanywee chai na mfalme juha wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu yao pakuficha sura za aibu hawana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti mkubwa kuliko wizkid labda ki umri , East Arika tu bado hujatoboa unajifananisha level za wizkid ,
Aibu kubwa ugomvi wa nyumbani kuupeleka kwa majirani nia yako ilikua umchafue sallam sk au umtafutie maadui chibu kibakuli unaroho ya paka ptuuuu.

Najutia kujifanya mzalendo kura niliyo kupigia kumbe chizi ivo? kuanzia leo nita wa pigia kina veemoney tu. Wanao msubiri mond ashuke kama wamesimama wachukue viti wakae ndio waendelee kumsubir lasivo watachoka
Huu mchezo hautaki hasira[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
 
sijachoka kumsikiliza, he so smart and professonal, he desrve to be best manager for Music industry, thou nimemuona na kumsikia kwa mara ya kwanza...B4 nilijua ni hawa waswahili

niliwahi kuandika, Ally akiacha uswahili na roho ya kijicho ataweza kufanikiwa, ila pia ashukuru pia kulinganishwa na Diamond (Diamond is far from him)
 
Ben poo alisha warahisishia mambo kua ali kiba n overrated bado hawajaelewa tu

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…