Sio tu kumchafua Sallam, nia ni kuichafua wcb kwa ujumla, anapaswa kuwaomba radhi kwa kweli, hili sio jambo la kuchukulia poa kabisa, Kuijenga WCB hii tunayoiona sasa hivi watu wamevuja jasho, gharama kubwa imetumika, anapotokea mtu kwa sababu ya chuki na wivu wake akataka kuharibu image yao hatakiwi kuchekewa hata kidogo, yeye kwa sababu amelianzisha alimalize kwa kuomba radhi, vinginevyo tunae.Mfalme juaha kaumbuka aibu yake hii anatamaini kurudisha tapishi lake mdomoni ila ndio hivo neno likishatamkwa halirudi mdomoni nimeamini maneno ya kale fikiri kabla ya kutenda ,
Roho mbaya chuki wivu imani za kishirikina na kutafuta sympathy kwa watu na mashabiki ndio kifo cha carrier yako mfalme **** kibakuli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa mishtusho mkurupukaji hayo matusi yenu na timu zenu mkanywee chai na mfalme **** wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu yao pakuficha sura za aibu hawana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti mkubwa kuliko wizkid labda ki umri , East Arika tu bado hujatoboa unajifananisha level za wizkid ,
Aibu kubwa ugomvi wa nyumbani kuupeleka kwa majirani nia yako ilikua umchafue sallam sk au umtafutie maadui chibu kibakuli unaroho ya paka ptuuuu.
Najutia kujifanya mzalendo kura niliyo kupigia kumbe chizi ivo? kuanzia leo nita wa pigia kina veemoney tu. Wanao msubiri mond ashuke kama wamesimama wachukue viti wakae ndio waendelee kumsubir lasivo watachoka
Huu mchezo hautaki hasira[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]