Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
sasa Yanga mnachekelea nini lakini ?
Tunaicheka 5imba mbovu bila offside haipati ushindisasa Yanga mnachekelea nini lakini ?
Duh !Ngumu sana kufanya kazi na kocha kama Matola! Jamaa ni aina ya mtu mnafiki na mswahili! Afu hana shule ya ukocha.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu sana kufanya kazi na kocha kama Matola! Jamaa ni aina ya mtu mnafiki na mswahili! Afu hana shule ya ukocha.....
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Ganda la mua la jana.
Sina hakika na shule yake, Ila matola Yuko vizuri hixo Tania nyingine zisijuiNgumu sana kufanya kazi na kocha kama Matola! Jamaa ni aina ya mtu mnafiki na mswahili! Afu hana shule ya ukocha.....
Sent using Jamii Forums mobile app
So far elimu yake ni kuwa msaidizi.Ngumu sana kufanya kazi na kocha kama Matola! Jamaa ni aina ya mtu mnafiki na mswahili! Afu hana shule ya ukocha.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ndio wanaongoza ligi kwa gepu refu tu...
hoja
Alichagua gundu huyo, si aliwahi kushawisha na kuanza kumla/kumgeuza yule kocha wake wa kipindi kile mwenye maneno mengi aliyekua anaitwa 'Republic Julio'. Unategemea atabaki salama?Ngumu sana kufanya kazi na kocha kama Matola! Jamaa ni aina ya mtu mnafiki na mswahili! Afu hana shule ya ukocha.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Braza, anaekufungashia virago ni Mwenye Nyumba. Huyu shabiki anaepiga kelele huku stand ataanzaje kumfungashia virago Matola?Haya mambo yameanza kufumuka baada ya kichapo cha jana
Chokochoko huanza hivi siku zoteBraza, anaekufungashia virago ni Mwenye Nyumba. Huyu shabiki anaepiga kelele huku stand ataanzaje kumfungashia virago Matola?