Video : Seleman Matola aanza kufungishwa virago Simba

Video : Seleman Matola aanza kufungishwa virago Simba

Aithee thimba nini tena, nilishasahau mambo ya drama drama kama za Yanga.
 
Ngumu sana kufanya kazi na kocha kama Matola! Jamaa ni aina ya mtu mnafiki na mswahili! Afu hana shule ya ukocha.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Alichagua gundu huyo, si aliwahi kushawisha na kuanza kumla/kumgeuza yule kocha wake wa kipindi kile mwenye maneno mengi aliyekua anaitwa 'Republic Julio'. Unategemea atabaki salama?
 
Simba matatizo yetu makuu ni uongozi tu wala si makocha.
Uongozi ulimuondoaje Kocha Aussems ilhali timu ilikuwa kwenye track nzuri ya ushindi!??

Uongozi wetu ni wa kiswahili swahili sana, na hapa ndo msingi mkuu wa matatizo ya Vilabu vyetu.
 
Back
Top Bottom