Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Shabiki wa Simba SC adai App ya klabu imejam kutokana na wingi wa watumiaji wakisubiri utambulisho wa nyota mpya usiku huu.
Wivu tu huo ,Yanga mara ngapi wamechelewa kutambulisha?Ndani ya club yangu imejaa wahuni wengi. Yaani wenzetu waki kwambia saa 3:15 hawana Uswahili.
Yaani ningekua kiongozi wa Simba Kwenye kitengo cha habari ningesafisha chote na Kuweka watu wenye weledi na wabunifu.
Pili kama mnajua mmeaajili magalasa Bora msitangaze kabisa Nyau nyie.