Ndani ya club yangu imejaa wahuni wengi. Yaani wenzetu waki kwambia saa 3:15 hawana Uswahili.
Yaani ningekua kiongozi wa Simba Kwenye kitengo cha habari ningesafisha chote na Kuweka watu wenye weledi na wabunifu.
Pili kama mnajua mmeaajili magalasa Bora msitangaze kabisa Nyau nyie.